Portugal's players continued their Euro 2016 celebrations on Monday morning before boarding a plane home
Star man Cristiano Ronaldo posted this picture of him hugging the Euro 2016 trophy on the return flight
Ronaldo akinyanyua kombe hilo baada ya timu ya Ureno kulitwaa
Ricardo Quaresma akishikilia kombe hilo walilotwaa katika uwanja wa Stade de France mjini Paris Ufaransa
Meneja wa Timu ya Ureno Fernando Santos (kulia) akibeba kombe hilo
Basi la wachezaji wa timu ya Ureno likiwasili uwanja wa ndege tayari kurudi Ureno
Mshambuliaji wa Ureno Eder aliyeingia baada ya Ronaldo kuumia, na ambaye alifunga goli lililowaua wafaransa akipongezwa na Ronaldo na Nani katika hoteli yao leo Jumatatu
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni