
Profesa Lubaina Himid ni mzaliwa wa Zanzibar ,mshindi wa Turner Prize
Profesa Lubaina
Himid ni mzaliwa wa Zanzibar ambaye ni mtanzania ametangazwa kuwa
mshindi wa 'Turner Prize 2017'katika tuzo kubwa za Sanaa nchini
Uingereza.
Majaji wamempa Tuzo kwa maonesho matatu yaliyofanyika
Oxford, Bristol na Nottingham ambapo waliisifu kazi yake ambayo
inaangazia Afrika duniani kote pamoja na ubunifu wa mtu mweusi jambo
ambalo wameliita namna nzuri ya ubunifu. 
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni