Alhamisi, 12 Desemba 2013

BASI LA KAMPUNI YA BURUDANI LAPATA AJALI

Basi la kampuni ya Burdani linalofanya safari zake kati ya Korogwe na Dar es Salaam limepata ajali muda mfupi uliopita maeneo ya Michungwani. Idadi ya waliofariki bado haijajulikana ila maiti na majeruhi ndio wanatolewa katika basi hilo. tutaendelea kukupa taarifa jinsi tunavyozipata. Poleni sana 

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni