Ijumaa, 13 Desemba 2013

WATU SITA WAPOTEZA MAISHA KWA KUFUNIKWA NA KIFUSI MKOANI KILIMANJARO

Watu sita wamefunikwa na kifusi eneo la Pumwani mkoani Kilimanjaro na wanahofiwa kufa. Watu hao walikuwa wakipakia morram kwenye lori aina ya Fuso ambapo ngema ilikatika na kuwafunika. Juhudi za kufukua kifusi hicho zinaendelea.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni