Ijumaa, 13 Desemba 2013

KAMATI TEULE YA BUNGE YA KUCHUNGUZA MIGOGORO KATI YA WAKULIMA NA WAFUGAJI IKO MOROGORO

Kamati teule ya Bunge ya kuchunguza sababu za matukio ya mara kwa mara ya migogoro kati wakulima na wafugaji ipo mkoani Morogoro kuendelea na kazi hiyo. Mwenyekiti wa kamati hiyo ni Mhe, Prof Msola (MB) na wajumbe wengine ni pamoja na Mhe J. Selasini (MB) na Mhe Magdalena Sakaya (MB).

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni