Raia hapa juu akiwapulizia bomu la machozi askari polisi wakati maandamanaji zaidi ya 900 waliozingira ofisi za serikali. TAKRIBANI waandamanaji 1,000 nchini Ukraine wamevamia makao makuu ya ofisi za serikali na kwenye mitaa mbali mbali mjini KIEV leo na kuathiri shughuli za serikali...
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni