Jumatatu, 30 Desemba 2013

RAIS DKT. KIKWETE AMTEUA ERNEST MANGU KUWA IGP MPYA

Kufuatia kustaafu kazi kwa IGP Saidi Mwema, Mhe Rais Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Ernest Mangu kuwa IGP Mpya na Msadizi wake kuwa ni Abdulrahman Kaniki

IGP MPYA ERNEST MANGU
NAIBU WA IGP ABDULRAHMAN KANIKI

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni