dr. mallole alitoa pole ya mifuko ya unga wa sembe 150, kaya zaidi ya 147 zilizolewa na mafuriko ya maji, mpaka kupelekea baadhi ya wananchi kwenda kujistili kwenye madarasa ya shule ya sekondary mpunguzi. mafuriko hayo yaliyosababishwa na ufinyu wa vidaraja vidogo ambavyo vilizidiwa na wingi wa maji na kuingia kijijini, akiongea na wananchi uku akiwapa pole mh. mallole alilaani kitendo cha wakandalasi wa barabara kuweka vidaraja vidogo
|
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni