Jumamosi, 22 Februari 2014

MWANAFUNZI AJICHOMA KISU BAADA YA KUFELI MITIHANI KIDATO CHA NNE

Kufuatia matokeo  ya kidato cha nne kutangazwa rasmi jana Mwanafunzi mmoja alijipiga kisu akitaka kujiua.

Kijana ambae jina lake halijafamika mpaka sasa, anayeishi Mwananyamala Dar es Salaam anayesemekana kuwa ni mwanafunzi ambaye alimaliza kidato cha nne mwaka jana yaani 2013 alikutwa amejichoma kisu shingoni na kuwahishwa hospital, huku chanzo kikisemekana kuwa ni matokeo yako ya kidato cha nne, matokeo yake hayakuwa mazuri maana amefeli kwa kupata ziro

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni