Kada wa umoja wa Vijana mkoa wa Morogoro Daniel Richard aliyelazwa wodi namba moja katika hospitali ya mkoa wa Morogoro baada ya Chadema kuwavamia na kuanza kuwapiga wakati wakitoka katika kampeni ndogo za udiwani kata ya tungi Manispaa ya Morogoro.
Katibu wa CCM mkoa wa Morogoro Rojas Lomuli akijadili jambo na viongozi wa CCM wilaya ya Morogoro mjini nje ya wodi namba moja walikokwenda kumwona kada huyo.
Huyu ni miongoni mwa vijana 80 wanaodaiwa kuletwa manispaa ya Morogoro kwa ajili ya kufanya vurugu wakati wa kampeni za uchaguzi wa udiwani Kata ya Tungi, alikamatwa baaada ya kumpiga mmoja wa makada mjini hapa ambaye amelazwa Hopitali ya mkoa,
Hii ni pikipiki aliyokamatwa nayo kijana huyo wa Chadema wakati wa vurugu hizo akiwa chini ya ulinzi wa polisi
Hii ni pikipiki aliyokamatwa nayo mfuasi huyo wa Chadema ikiwa na nambo ya chama hicho.
Pikipiki hiyo ikiwa ndani ya gari la polisi
Wajumbe wa kamati ya siasa ya mkoa wa Morogoro wakimjulia hali kada huyo aliyelazwa hospitali ya rufaa ya mkoa wa Morogoro
(TK)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni