Jumamosi, 1 Machi 2014

MIHELA YAKAMATWA MEXICO KWA GWIJI LA MADAWA YA KULEVYA



Fedha kiasi kilichokadiriwa kuwa ni dola Billion18 zilizokamatwa! Baada ya kuhesabu kilikutwa ni dola za kimarekani zaidi ya Bilioni 22!



Dola Billioni 22 zilizokamatwa



Bastola na fedha zilikuwa zimefichwa kila kona ya jumba hilo la kifahari.





Sanduku ilikutwa na dola nusu milioni


Mapipa mengine ya plastiki 18 pia yalikamatwa 


Kabati likiwa na noti za dola 100.


Kiasi kikubwa cha noti za dolla 100!




Kila moja ya vibunda hivi vya noti dola 100 kina dola $250,000 (dola robo millioni)! Aidha walikutwa pia na fedha ya Kolumbiana za Mexico.



Zilikutwa pia fedha za China

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni