Jumatatu, 24 Machi 2014

RAIS KIKWETE AZIFUNGUA BARABARA ZA MKATA – HANDENI NA KOROGWE – HANDENI MKOANI TANGA


Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete (aliyenyoosha mkono) akifurahia jambo na Waziri wa Ujenzi Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli anampongeza kiongozi wa kikundi cha ngoma ya Selo baada ya kutumbuiza wakati wa sherehe za ufunguzi wa barabara ya Mkata – Handeni - Korogwe. Anayeangalia (kulia) ni Waziri wa Viwanda na Biashara na Mbunge wa Handeni Dkt. Abdallah Kigoda.

Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete (wa tatu kutoka kushoto) akiwa na baadhi ya Mawaziri, Wabunge na Viongozi wa mkoa wa Tanga wakishiriki kukata utepe kuifungua rasmi barabara ya Handeni – Mkata na Handeni - Korogwe huko mkoani Tanga.

Sehemu ya barabara ya Handeni – Mkata.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni