Jumanne, 15 Aprili 2014

ADHA YA MAFURIKO KWA WAKAZI WA MANISPAA YA MOROGORO


Hoteli ya Road View Motel iliyopo kando ya barabara kuu ya Dar es Salaam-Morogoro kata ya Kichangani ikiwa imezingirwa na maji ya mafuriko ya mkondo wa maji wa Kwamchuma sambamba na kuwa karibu na mita chache na mto wa Morogoro.PICHA/MTANDA BLOG.
Wakazi wa Kichangani wakiangalia maji ya mafuriko baada ya kuharibu nyumba zao.




Mto Morogoro ukiwa umefurika maji kutokana na mvua hizo.
Hawa wakijadiliana jambo baada ya mafuriko hayo
Nyumba imeanguka
Miundombinu ya barabara ya kata ya Kichangani na kata ya Mwembesongo eneo la matofarini ikiwa imeharibika na kuweka shimo upande wa kulia.
Wakivuka katika mkondo wa maji yaliyokuwa yakitoka kwa Mchuma.
Hawa wakielekea shule baada ya eneo walilokuwa wakilitumia kwa kupita kujaa maji ya mafuriko eneo la Oil Com
Mkazi huyu akiendesha baiskeli katika mazingira magumu
Wakiangalia nyumba zao zilizofurika maji ya mafuriko.





Wananchi wakisaidiana kuvuka sehemu zilizojaa maji mjini Morogoro

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni