Mkazi wa kunduchi Beachi katika manispaa ya Kinondoni jijini Dar es salaam Riziki Daudi amejifungua watoto wanne alipojifungua kwa njia ya upasuaji wiki iliyopita katika hospitali ya Taifa Muhimbili hivi karibuni. Kutokana na maisha kuwa magumu anaomba wasamaria wema kumsaidia kwa hali na mali kutoka hali yake hususani nguo za watoto pamoja na misaada mingine. Watoto hao wanatunzwa katika chumba maalum katika jengo la wazazi.
Anaomba kwa wale watakaoguswa na tatizo hilo kuwasiliana naye kupitia namba za simu 0783717648 ya Hadija Abeid na 0717 365040 ya Thuwaiba Mohamed au 088711458 Daudi Haji
Wadau naombashime tumsaidie mama huyu na wanae (TK)
|
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni