Kijana mmoja amepigwa kutoka kwa wafuasi wa Ukawa waliokuwa na mkutano mkoani Morogoro jana baada ya kudaiwa kuwa miongoni mwa waliomteka Mbunge Rose Kamili wakati wa uchaguzi mdogo jimboni Kalenga, mkoani Iringa.
Njemba huyo akipokea kichapo kutoka kwa wafuasi wa Ukawa mkoani Morogoro na baadaye kuokolewa na polisi.
Njemba huyo ambaye hakufahamika jina lake mara moja, aliangushiwa kipigo baada ya kuibuka na kuanza kumpiga picha Mwenyekiti wa Bavicha Taifa, John Heche. Baada ya kipigo cha nguvu, njemba huyo alinusuriwa na polisi waliomchukua kumtoa mikononi mwa wafuasi hao.
Mwenyekiti huyo wa Bavicha akithibitisha kumtambua kijana huyo anayedaiwa kushiriki kumteka mbunge wao kwenye uchaguzi mdogo uliofanyika Jimbo la Kalenga, lringa
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni