Nchi ya Iraq imekumbwa na mauaji ya kutisha kwa sasa baada ya kuondoka kwa majeshi ya Marekani. Rais wa Marekeni Barak Obama amesema kuwa anafikiria kupeleka ndege zisizo na marubani kusaidia serikali ya Iraq ila sio kupeleka askari. Hapa kuna baadhi ya picha za mauaji ya kutisha yanayoendelea nchini Iraq kwa sasa.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni