Mwanamuziki mwenye sauti tamu wa bendi ya FM Academia aka Wazee Wa Ngwasuma aitwae Digital amefariki dunia muda mfupi alipokuwa amelazwa katika hospital ya Muhimbili jijini Dar, awali tangu wiki iliyopita alikimbizwa hospitali ya Mwananyamala baada ya kuzidiwa na maradhi, na chanzo cha kifo chake hakijaelezwa! poleni FM Academia, ndugu na jamaa katika kipindi hiki kigumu. Kwa habari zaidi nitaendelea kuwajuza zaidi, Mungu amlaze mahala pema peponi ameni |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni