Jumanne, 1 Julai 2014

POLISI NCHINI KENYA WAKATA SH MILIONI 13 KATI YA MILIONI 78 ILIYOIBWA NA POLISI WENZAO

Nairobi, Kenya: Polisi nchini Kenya wamefanikiwa kukamata sh 13 million kati ya Sh78 million zilzoibwa na maaskari wa KK Logistics na polisi wakati zikisafirishwa jijini Nairobi.

Pesa hizo zilitelekezwa katika gari walilotumia wahalifu hao walilolitumia kabla ya kuliach sehemu ya Huruma jijini Nairobi. Hakun ayeyote aliyekamatwa na Polisi hadi sasa. Polisi watatu waliokuwa wansindikiza pesa hiyo kwenda Benki Kuu ya Kenya. Polisi wanendelea na uchunguzi wa tukio hilo.

Polisi wanafanya msako mkali kuwatafuta polisi 3 waliokuwa wakisindikiza fedha hizo kuelekea  Benki Kuu ya Kenya siku ya Jumatatu mchana.

Maafisa watatu wa Polisi, waliokuwa wanasindikiza  fedha hiyo wametoroka na waliacha bunduki, sare za polisi na gari walilotumia kwenye tukio hilo ambalo lilitelekezwa katika maeneo ya Huruma, Nairobi.
Also in their company were three KK Security guards who could also not be traced by Monday evening.
They were escorting the cash from Westlands to the Central Bank headquarters when they went missing.
Nairobi head of CID Nicholas Kamwende said they were called and informed there were guns, uniforms and vehicle  abandoned in the area at about 4pm.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni