AJALI NYINGINE SONGEA YAUA WAWILI
Ajali nyingine imetokea mkoani Songea huku watu wawili
wakifariki dunia.
Gari lililopata ajali ni mali ya kampuni ya Super
Feo aina ya Sosa inayofanya safari zake toka Songea kwenda Makambako na kutokana
na chanzo cha ajali hiyo ni mwendo kasi baada ya kuacha njia na kugonga mti na
kuung'oa.HABARI ZAIDI ZA TUKIO HILO TUTAENDELEA
KUWAJULISHA.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni