Alhamisi, 11 Septemba 2014

KENYA YAGUNDUA MAFUTA



Kampuni ya Kimarekani inayofanya utafiti kuhusu mafuta imeripoti kuwa imefanikiwa kugundua mafuta katika eneo la Garrissa nchini Kenya.

Taarifa hii imepokelewa kwa shangwe, nderemo na vifijo kutoka kwa wakenya wengi ambao wanaamini kuwa huu ndio ufumbuzi mkubwa wa masuala ya kiuchumi

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni