Ijumaa, 5 Septemba 2014

KILIO MBELE YA MBUNGE


Mbunge wa jimbo la Morogoro mjini Abdullaziz Abood kulia akiondoka katika kiwanja plot no 121 kinachodaiwa kumilikiwa na Zaituni Jenela (62) anayedaiwa kudhulumiwa na mmoja wa maafisa wa Manispaa ya Morogoro na kupatiwa mtu mwingi eneo la kando ya barabara kuu ya Dar es Salaam Morogoro kata ya Kichangani Morogoro, kushoto ni mjumbe wa baraza la bakwata mkoa wa Morogoro, Rajabu Sekilindo. PICHA/MTANDA BLOG



Mkazi wa Manispaa ya Morogoro Zaituni Jenela (62) akimlalamikia jambo mbunge wa jimbo la Morogoro mjini Abdullaziz Abood juu ya kudhulumiwa kiwanja chake kisha kumpatia mtu mwingine eneo plot no 121 Morogoro.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni