Kimenuka!
Baada ya kuwepo kwa utata mkubwa juu ya kifo cha aliyekuwa mnenguaji
bei mbaya Bongo, Mwanaisha Mohamed Mbegu ‘Aisha Madinda’, inadaiwa
kwamba waliohusika na kifo chake sasa wanasakwa kila kona.
Mwanaisha
Mohamed Mbegu ‘Aisha Madinda’ enzi za uhai wake.
Habari kutoka ndani ya
Jeshi la Polisi Mkoa wa Kipolisi wa Kinondoni, Dar, zilidai kwamba
jeshi hilo ndilo lililozuia mazishi ya staa huyo hadi mwili ufanyiwe
uchunguzi.“Ukweli ni kwamba majibu ya kilichomuua hayajawekwa wazi
lakini wote waliokuwa naye dakika za mwisho wanasakwa kwani kuna madai
mazito kwamba alipewa kitu na watu wasiojulikana
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni