Rais Prof. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na baadhi
ya wakuu wa mikoa waliowawakilisha wenzao kwenda ikulu leo kumjulia
hali na kumpa pole kufuatia upasuaji aliofanyiwa mwezi uliopita katika hospitali ya Johns Hopkins ya nchini
Marekani hivi karibuni.(picha na Freddy Maro)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni