Jumatano, 18 Februari 2015

MVUA YA MAWE NA UPEPO MKALI YAEZUWA NYUMBA 52 WANGING'MBE MKOANI NJOMBE

 Picha ya paa la nyumba lililovuka barabara ya Iringa Mbeya na kunasa kwenye mti

Mvua kubwa iliyombatana na mawe na upepo mkali iliezua nyumba 52 katika kijiji cha mng'elenge wilayani Wanging'ombe tarehe 14/2/2015.

Mkuu wa Mkoa huo Dkt Rehema Nchimbi alitembelea waathirika wa tukio hilo na kutoa bati za shilingi milioni nne (4,000,000).

Aidha mvua hiyo iliharibu kabisa mashamba ya mahindi, nyanya, alizeti na maharage



Hakuna maoni:

Chapisha Maoni