Arsenal imeamsha matumaini ya kubeba tena Kombe la FA baada ya kufanikiwa kutinga fainali.
Imetinga
fainali baada ya kuichapa Reading kwa mabao 2-1, yote mawili yakifungwa
na Alexis Sanchez. Hata hivyo haikuwa kazi lahisi kwa kuwa Arsenal
ililazimika kusubiri hadi dakika 30 za nyongeza kupata ushindi huo.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni