Bibi Hillary Clinton Mke wa Rais wa Marekani wa zamani na Waziri wa nje wa Marekani alimaliza mda wake.
Ametangaza
Rasmi anagombea mwaka 2016... na amezindua Kampeni yake Jana kupitia chama
cha Democratic...Rais wa Marekani Barack Obama alipoulizwa jana huko
Panama...Anamzungumzaje Bi Hillary Clinton....? Anajibu...... "Namfahamu
Kama Mwana mama mshindani wangu 2008...
Namjua
Kama Msaidizi Wangu akiwa Secretary of state (Waziri wa Mambo ya Nje) Na bado ni Rafiki yangu sana kisha akasema ni mwanamama
anayeweza kuiendeleza Amerika...
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni