Mdau
Semeni Kingaru akimsimamia kula chakula cha mchana mtoto mdogo kuliko
wote mwenye albinism aliyeonekana kukosa upendo wa wazazi wake kwa
kipindi kirefu na kufarijiwa na ugeni huo uliofika shuleni hapo.
Mbunge wa
viti maalum CCM, anayewakilisha watu wenye ulemavu, Mh. Al shaymaa
Kwegyir akibadilishana mawazo na mabinti wa shule ya msingi Mitindo
alipowatembelea na Bi. Zulmira Rodrigues.
Mkuu wa
ofisi na mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na
Utamaduni, Bi. Zulmira Rodrigues (kulia) akisaidiana na Mdau Semeni
Kingaru kugawa zawadi ya juisi kwa watoto wa shule ya msingi Mitindo.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni