Jumatatu, 25 Mei 2015

JK AFUNGUA MKUTANO WA SHIRIKISHO LA VYUO VYA ELIMU YA JUU DODOMA

Rais Kikwete akisisitiza jambo wakati wa Mkutano wa kwanza wa Shirikisho la Wanafunzi wa Vyuo Vya Elimu ya Juu mjini Dodoma.
Mwenyekiti wa CCM Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akinyanyua juu nakala za kanuni za Shirikisho la Wanafunzi wa Vyuo Vya Elimu ya Juu kuzizindua rasmi wakati wa Mkutano wa Kwanza wa Shirikisho hilo uliofanyika katika ukumbi wa Kilimani mjini Dodoma leo. Kulia ni katibu mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana, watatu kulia ni Makamu Mweyekiti wa CCM Bara Ndugu Philip Mangula na kushoto ni mlezi wa shirikisho hilo ambaye pia ni Naibu Waziri wa Sayansi na Teknologia Ndugu January Makamba.
Rais Kikwete akisalimiana na baadahi ya wanafunzi baada ya kufungua mkutano (picha na Freddy Maro)

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni