Baadhi
ya wazee wa Dodoma waliofika kwenye ukumbi wa Halmashauri kuu ya taifa
ya CCM kumsikiliza Waziri Mkuu, Mizengo Pinda wakati alipozungumza
baada ya kuchukuwa fomu ya kuwania uteuzi wa CCM ili awe mgombea wake
wa urais katika uchaguzi mkuu ujao kwenye ofisi kuu ya CCM mjini Dodoma
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na baadhi ya watu waliofika kwenye
Ukumbi wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM kumsikiliza wakati
alipozungumza na waandishi wa habari baada ya kuchukuwa fomu ya kuwania
uteuzi wa CCM ili awe mgombea wake wa urais katika uchaguzi mkuu ujao
kwenye ofisi kuu ya CCM mjini Dodoma.
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza baada ya kuchukuwa fomu ya kuwania
uteuzi wa CCM ili awe mgombea wake wa urais katika uchaguzi mkuu ujao
kwenye ofisi kuu ya CCM mjini Dodoma. Kulia ni mkewe mama Tunu Pinda
Sehemu
ya wageni wakimsikiliza Mhe Pinda wakati alipozungumza na waandishi wa
habari baada ya kuchukuwa fomu ya kuwania uteuzi wa CCM ili awe
mgombea wake wa urais katika uchaguzi mkuu ujao kwenye ofisi kuu ya CCM
mjini Dodoma
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na baadhi ya watu waliofika kwenye
Ukumbi wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM kumsikiliza wakati
alipozungumza na waandishi wa habari baada ya kuchukuwa fomu ya kuwania
uteuzi wa CCM ili awe mgombea wake wa urais katika uchaguzi mkuu ujao
kwenye ofisi kuu ya CCM mjini Dodoma
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni