Chui akiwa kwenye kisima
Mwanaume mmoja kutoka katika kijiji cha Guwahati nchini India amemuokoa chui kutoka kwenye kisima ambako alikuwa amedumbukia.
Angalia picha jinsi ilivyokuwa:

Mawanaume huyo akipanda ngazi huku akiwa amembeba chui huyo

Wananchi wakijitahidi kumvuta mwanaume huyo
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni