Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akishuhudia kusimikwa kwa Kiongozi mpya wa kabila
la Waluguru Chifu Kingalu wa 15 katika kijijini Kinole mkoani Morogoro kufuatia kifo cha Chifu Kingalu wa 14 aliyefariki Jumatano ya tarehe 1 Julai jijini Dar es salaam na kuzikwa Alhamisi Julai 3, 2015 kijijini hapo.
Kiongozi
mpya wa kabila la Waluguru Chifu Kingalu wa 15 akitolewa nje baada ya
kusimikwa rasmi kuwa kiongozi wa kabla hilo kijijini Kinole mkoani
Morogoro Alhamisi Julai 3, 2015 kufuatia kifo cha Chifu Kingalu wa 14
aliyefariki Jumatano jijini Dar es salaam na kuzikwa kijijini
hapo.
Kiongozi
mpya wa kabila la Waluguru Chifu Kingalu wa 15 akichomeka fimbo yake ya
Uchifu kabla ya kuketi meza Kuu na Rais Jakaya Mrisho Kikwete baada ya
kusimikwa rasmi kuwa kiongozi wa kabla hilo kijijini Kinole mkoani
Morogoro Alhamisi Julai 3, 2015 kufuatia kifo cha Chifu Kingalu wa 14
aliyefariki jana Jumatano jijini Dar es salaam na kuzikwa kijijini
hapo.
PICHA NA IKULU
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni