Madaktari wa kujitolea toka Marekani ambao wamepeletwa Tanzania na
Jumuiya ya Watanzania DMV wakiratibiwa na Wizara ya Mambo ya Nje na
Ushirikiano wa Kimataifa chini ya kitengo cha Diaspora leo siku ya
Jumamosi July 25, 2015 walitembelea chuo cha elimu ya Afya na kutoa
elimu ya afya ikiwemo Sratani ya Matiti.
Madaktari wa kujitolea toka Marekani ambao wamepeletwa Tanzania na
Jumuiya ya Watanzania DMV wakiratibiwa na Wizara ya Mambo ya Nje na
Ushirikiano wa Kimataifa chini ya kitengo cha Diaspora siku ya
Jumamosi July 25, 2015 wakitoa elimu ya afya katika chuo cha elimu ya
afya Zanzibar mapema.
Wanafunzi chuo cha elimu ya afya Zanzibar wakiwasikiliza Madaktari
wa kujitolea toka Marekani ambao wamepeletwa Tanzania na Jumuiya ya
Watanzania DMV wakiratibiwa na Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa
Kimataifa chini ya kitengo cha Diaspora.
Madaktari wa kujitolea toka Marekani ambao wamepeletwa Tanzania na
Jumuiya ya Watanzania DMV wakiratibiwa na Wizara ya Mambo ya Nje na
Ushirikiano wa Kimataifa chini ya kitengo cha Diaspora siku ya
Jumamosi July 25, 2015
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni