Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete
akimuapisha Ndugu Kailima Ramadhani Kombwey kuwa Mkurugenzi wa Uchaguzi
Ikulu jijini Dar es salaam jioni Julai 25, 2015.
Ndugu
Kailima Ramadhani Kombwey akiweka sahihi kwenye hati baada ya kuapishwa
kuwa kuwa Mkurugenzi wa Uchaguzi Ikulu jijini Dar es salaam jioni ya leo
Julai 25, 2015.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete
akiweka sahihi baada ya muapisha Ndugu Kailima Ramadhani Kombwey kuwa
Mkurugenzi wa Uchaguzi Ikulu jijini Dar es salaam Julai 25,
2015.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete
akikabidhi vitendea kazi baada ya kumuapisha Ndugu Kailima Ramadhani
Kombwey kuwa Mkurugenzi wa Uchaguzi Ikulu jijini Dar es salaam Julai 25, 2015.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete
akipeana mikono na Ndugu Kailima Ramadhani Kombwey baada ya kumuapisha
kuwa Mkurugenzi wa Uchaguzi Ikulu jijini Dar es salaam
Julai 25, 2015.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete akiwa
katika picha ya pamoja na Ndugu Kailima Ramadhani Kombwey kuwa
Mkurugenzi wa Uchaguzi Ikulu jijini Dar es salaam Julai 25,
2015. Wengine kutoka kushoto ni Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Bw.
Florens Turuka, Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji
Hamid Mohamoud Hamid, Rais Kikwete, Ndugu Kailima Ramadhani Kombwey,
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue na Msajili wa vyama vya Siasa
Jaji Francis Mutungi.
Rais Kikwete akiwa na Mkurugenzi wa Uchaguzi mpya Ndugu Kailima Ramadhani Kombwey
Rais Kikwete akisalimiana na mtoto wa Ndugu Kailima Ramadhani Kombwey, Msemakweli (2) wakati wa hafla hiyo fupi.
PICHA NA IKULU
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni