Mtu mmoja amekufa na kufikisha idadi ya watu waliokufa kwenye mlipuko wa jana (Jumatano) kufikia watu watatu. Karibu watu 70 wamajeruhiwa na wengine kadhaa hawajulikani waliko. chnzo cha mlipuko huo kiadhaniwa kuwa ni Kuvuja kwa gesi Meya wa mji wa York City Bill de Blasio alisema kuwa huu ni mlipuko mkubwa sana kwa sababu hakukuwepo muda wa kuokoa wahanga.. "
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni