Download kipindi hapa
null
Ukiwa umetimia mwaka mmoja sasa tangu lifanyike shambulizi la kigaidi katika maduka ya Westgate mjini Nairobi ambapo watu sabini waliuawa na wengine kujeruhiwa, idhaa ya BBC inaangazia makala maalum kuhusu kilichobadilika tangu mashambulizi hayo kufanyika, hasa katika nyanja za usalama.
Siku ya kuadhimisha kumbukumbu ya tukio hilo ni siku ya Jumapili.
Dennis Okari amezungumza na mmoja wa walionusurika Anne Moraa ambaye alikuwa akifanya kazi ya kusimamia mauzo katika duka moja wapo ndani ya jengo hilo la Westgate.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni