Jumamosi, 16 Mei 2015

MCHEZAJI KUTOKA AFRIKA AWEKA REKODI MPYA YA HATARI UINGEREZA!

Mshambuliaji wa Southampton na raia wa Senegal, Sadio Mane (kushoto) akifunga bao lake la kwanza dakika ya 12 kipindi cha kwanza dhidi ya Aston Villa leo katika Uwanja wa St. Mary's Stadium.
...Mane akifunga bao lake la pili dakika ya 13 kipindi cha kwanza.
...Mane akifunga bao la tatu dakika ya 15 kipindi cha kwanza na kutimiza hat-trick ya aina yake Ligi Kuu ya England jana
Mane akishangilia.
Wachezaji wa Southampton wakishangilia baada ya kushinda bao 6-1 dhidi ya Aston Villa.
Mchezaji wa Southampton, Shane Long akishangilia moja ya bao lake. Long amefunga mabao mawili leo.
Mchezaji wa Southampton wakishangilia kwa pamoja baada ya mechi

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni