Rais Mugabe na Mkewe Grace
Kwa muda mrefu alikuwa akifanya mambo kichichini.
Alizaa watoto wawili na Rais Mugabe akiwa bado katika ndoa na mke wake wa kwanza. Grace aliowana na Mugabe baada ya mke wake wa kwanza kufariki.
Kwa sasa ni mwenyekiti wa tawi la wanawake la chama tawala ZANU-PF akiwa na ushawishi mkubwa. Wengi wanadhani atarithi madaraka ya mume wake, ingawa yeye anakanusha kuwa na azma hiyo.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni