Mkuu wa Wilaya ya Chemba-Dodoma, Simon Odunga akila kiapo
Baada ya mkuu huyo kuwatolea lugha chafu na kuamuru mwenyekiti wa kijiji akamatwe wananchi walijawa hasira na kuanza kuushambulia msafara wake.
DC huyo alilazimika kukimbia baada ya gari lake kupigwa mawe
Pia baadhi ya viongozi wa wilaya akiwemo Mwenyekiti wa Halmashauri walilazimika kuvalishwa hijjab na kutoroka.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni