Kitengo cha dharura
nchini Mexico kinafanya juhudi za kuwa kuwaokoa watu wawili
waliokuwa wamesafiri na gari ambao wamenaswa katika gari ambalo
lililotumbukia katika shimo lenye urefu wa kina cha mita tano .
Shimo
hilo lilionekana baada ya mvua kubwa iliyonyesha katika barabara kuu
iliyozinduliwa hivi karibuni ambayo ni kiungo kati ya mji wa
Cuernavaca na Mexico City.Gari hilo na pikipiki vilitumbukia katika shimo hilo ambalo linadhaniwa kujitengeneza kutokana na mvua kubwa kuingilia sehemu ya barabara kuu iliyofanyiwa ukarabati kabla ya majira ya mvua
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni