Washika bunduki wa London timu ya Arsenal jana walifanikiwa kutetea ngao ya Jamii kwa kuifunga timu ya Chelsea magoli 4 - 1.
Kocha Arsene Wenger akiwa na ngao ya jamii waliyoshinda
Chelsea walikuwa wa kwanza kuata bao kupitia kwa Moses katka dakika ya 47.
Arsenal walisawazisha katika dakika ya 82 kwa bao lililofungwa na Kolasinac.
Mpaka mwisho wa dakika 90 Arsenal 1 Chelsea 1.
Katika matuta Cahil aliifungia Chelsea na Walcot akaisawazishia Arsenal. Golkipa wa Chelsea Courtous akakosa na pia Morata akakosa. Mabao mengine ya Arsenal yalifungwa na Nacho Monreal, Oxlade-Chamberlain na Girroud,
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni