Alhamisi, 19 Oktoba 2017

Kwanini watu huamua kujiua?


Ripoti mpya ya Shirika la Afya Duniani inaonyesha kuwa watu takriban milioni moja hujiua kila mwaka. Nini sababu kuu za watu kujiua, mazingira ya tukio hilo kiakili na nini kifanyike kukabiliana na majaribio ya kujiua?
 
Sikiliza sauti 09:48

Sikiliza makala ya Afya Yako

         

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni