Jumanne, 11 Februari 2014

KUFUATIA AJALI MBAYA YA NDEGE, ALGERIA YATANGAZA SIKU 3 ZA MAOMBOLEZO

Algeria imeanza siku tatu za maombolezi ya kitaifa kufuatia kuuawa kwa watu sabini na saba kwenye ajali iliyohusiha ndege moja ya Kijeshi Kaskazini Mashariki mwa nchi hiyo.

Abiria mmoja alinusurika ajali hiyo iliyohusisha ndege aina ya Hercules C-130 iliyoanguka katika eneo la milima ya Oum al-Bouaghi, ikiwa njiani kuelekea mji wa Constantine.

Ripoti zinasema hali mbaya ya anga ilisababisha ajali hiyo ya ndege.

Rais wa nchi hiyo Abdelaziz Bouteflika amewasifu wanajeshi waliopoteza maisha yao na kuwataja kama wafia dini wa taifa hilo.

Wengi wa abiria sabini na nane waliokuwa ndani ya ndege hiyo walikuwa ni maafisa wa kijeshi na familia zao (TK).

Mabaki ya ndege ya jeshi la Algeria iliyoanguka

Mwanajeshi aliyenusurika, anaripotiwa kuendelea kupokea matibabu katika hospitali moja mjini Constantine kufuatia majeraha ya kichwa.

Wizara ya Ulinzi imesema kuwa imeunda tume maalum kuchunguza ajali hiyo na kuwa Ahmed Gaid Salah, ambaye ni mkuu wa majeshi na naibu waziri wa Ulinzi atazuru eneo la ajali hiyo.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotumwa kwa vyombo vya habari, wizara ya ulinzi imesema kuwa hali mbaya ya anga iliyohusisha kimbunga na mvua kubwa ya barafu ilisababisha ajali hiyo.

Luninga ya taifa ilionyesha picha za ajali hiyo.

Awali maafisa wa Ulinzi na shirika hilo la habari liliripoti kuwa watu 103 walikuwa ndani ya ndege hiyo lakini idadi hiyo ilipunguzwa hadi watu sabini na nane.

Jumatatu, 10 Februari 2014

Massive explosion injures several at New Hampshire Ball Bearings factory

Officials say 15 people were injured at the plant in Peterborough, NH, that makes high-tech aerospace parts.

Comments (1)
39
31
0
Print
Share This URL:
Map of ball bearings factory explosion in New Hampsire.

Google

Emergency crews including about 100 firefighters from several towns on Monday rushed to the scene of a massive explosion at New Hampshire Ball Bearings in Peterborough, N.H.

A massive explosion at a manufacturing plant in southwestern New Hampshire injured at least 15 people Monday afternoon.
Emergency crews including about 100 firefighters from several towns rushed to the New Hampshire Ball Bearings in Peterborough, N.H. after the 3:30 p.m. blast.
Two people who were seriously wounded were flown from the scene, police said. The company said the injuries are not life-threatening.
Local hospitals are preparing for patients who could have been exposed to hazardous materials. The factory, which produces high-tech aerospace parts, uses chemicals but it was unclear whether they played a role in the blast.
Officials said 15 people were hurt due to an explosion Monday at New Hampshire Ball Bearings in Peterborough. Police said two people had serious injuries amd were flown from the scene.

WBZ/WFXT

Officials said 15 people were hurt due to an explosion Monday at New Hampshire Ball Bearings in Peterborough. Police said two people had serious injuries amd were flown from the scene.

The plant employs about 700 people.
Kathy Gerrity, a company spokesperson, said that roughly 450 people are typically working around that time but was not positive how many were in the building during the blast.
Steve Bourgeois, who works at a nearby U-Haul dealer, Peterborough Collision, told WMUR that he heard two large blast about 3:30 p.m.
"It shook our building, shook the plate glass in our showroom," he said to the station.
The New Hampshire Ball Bearings plant, which produces high-tech aerospace parts, uses chemicals but it was unclear whether those played a role in Monday's blast.

WBZ/WFXT

The New Hampshire Ball Bearings plant, which produces high-tech aerospace parts, uses chemicals but it was unclear whether those played a role in Monday's blast.

The explosion blew out windows on the first floor of the plant, police said.
The state emergency operations center is monitoring the situation, Gov. Maggie Hassan said.
Police are advising drivers to avoid Route 202 through Peterborough, WMUR said.
The town, which inspired Thornton Wilder’s Pulitzer Prize-winning play “Our Town,” has about 6,400 residents


Read more: http://www.nydailynews.com/news/national/massive-explosion-new-hampshire-ball-bearings-factory-article-1.1608845#ixzz2szYObpGK

UJANGILI WACHAFUA JINA LA TANZANIA HUKO UINGEREZA




tanzania1 37cfe

Wakati Rais Jakaya Kikwete akijiandaa kwenda London Uingereza kuhudhuria mkutano wa kuokoa viumbe vilivyo hatarini kutoweka duniani ukianza wiki hii, tatizo la ujangili limeweka wingu zito kwa Tanzania.


Rais Kikwete ni kati ya viongozi wa nchi 50 watakaohudhuria mkutano huo, utakaokuwa chini ya wenyeji wa mwana wa Wales na Waziri wa Mkuu wa Uinegerza, David Cameron,

Taarifa ya gazeti la The Mail on Sunday la Uingereza la Februari 8, limeitaja Tanzania kama kinara wa ujangili kwa kuua zaidi ya tembo 11,000 kwa mwaka, huku Rais wake (Jakaya Kikwete) akielezwa kufumbia macho.

Pia, gazeti hilo limemhusisha Rais Kikwete kuwa na urafiki na wafanyabiashara ya meno ya tembo, huku likiwahusisha wafadhili wa Chama cha Mapinduzi (CCM) katika biashara hiyo.

"Utawala wa Rais Kikwete umetawaliwa na mauaji ya tembo yaliyovunja rekodi katika historia ya nchi yake. Kibaya zaidi, wahifadhi wanasisitiza kuwa, ndani ya Serikali kuna viongozi wanaoshiriki biashara hiyo," imesema sehemu ya taarifa hiyo.

Katika mkutano huo, viongozi wa nchi 50 na mawaziri wataweka mikakati dhidi ya biashara haramu ya wanyamapori, yenye thamani ya pauni 6 bilioni za Uingereza kwa mwaka zinazotumika kufadhili magaidi.

Taarifa hiyo inasema kuna wafanyabiashara
wakubwa wa Dar es Salaam wanaohusika na ujangili.

"Miongoni mwao ni matajiri wakubwa nchini, wafadhili na wanachama wa CCM na ndugu wa karibu wa Rais Kikwete. Lakini wanao marafiki wakubwa, huku majaji, waendesha mashtaka na polisi hurubuniwa kwa urahisi," inasema sehemu ya taarifa hiyo.

Pia, taarifa hiyo inadai kuwapo kwa idadi kubwa ya Wachina wanaofanya biashara ya mafuta nchini, huku baadhi yao wakihusika na ujangili.

Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Ikulu, Salva Rweyemamu alikiri kuona taarifa hiyo na kwamba, Rais Kikwete atahudhuria lakini aliipuuza taarifa hiyo.

"Ni kweli Rais Kikwete atahudhuria huo mkutano, lakini taarifa ni ya Nonesense, crap and malicious (ya kishenzi, kipuuzi na ovu)," alisema Rweyemamu.

Juhudi za kumpata Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu hazikufanikiwa baada ya simu yake kuita muda mrefu bila kupokelewa.

Hata Naibu wake, Mahmoud Mgimwa naye hakupokea simu alipopigiwa.

Kuhusu CCM taarifa hiyo imeitaja idara ya wanyamapori kunuka rushwa huku ikisingizia kuuzwa kwa meno ya tembo yaliyoko ghalani kwenye soko la kimataifa wakati lengo lao ni kupata fedha kuisaidia chama hicho uchaguzi mkuu wa mwaka 2015.

" Wabunge, maofisa wa juu na wafanyabiashara, wametajwa bungeni na kwenye vyombo vya habari, lakini uchunguzi unapotezwa," inaongeza.

Jitihada za kupata viongozi wa CCM hazikuzaa matunda. Chanzo: mwananchi

MAFURIKO YALETA KIZAZAA BUJUMBURA


Sehemu zilizoathirika zaidi ziko Kaskazini mwa Bujumbura
Zaidi ya watu 50 wamefariki nchini Burundi baada ya kusombwa na maji pamoja na maporomoko ya udongo.
Kwa mujibu wa waziri wa usalama, mvua kubwa ilinyesha usiku kucha katika mji mkuu Bujumbura na kusababisha uharibifu mkubwa.


Waziri Gabriel Nizigama amesema kuwa tayari wamepata miili ya watu 50, waliofariki baada ya nyumba zao kuporomoka na kusombwa na maji.Majumba yamebomoka kufuatia mvua hiyo kubwa

Mitaa na vitongoji vya mji mkuu Bujumbura viliopo kaskazini vimeathirika zaidi.
Serikali ya Burundi mbali na kutangaza kwamba itagharamia mazishi na huduma kwa majeruhi, imetangaza pia siku moja ya maombolezi ya kitaifa siku ya Jumanne.



Miongoni mwa tarafa ambazo zimeathirika sana ni Kamenge sehemu inayopakana na mkoa wa Bujumbura. Inaarifiwa watu wengi hususan watoto wamepoteza maisha.
Majeruhi wamelazwa katika hospitali kuu za serikali mjini Bujumbura na hasa Hospital Roi Khaled.



Na kutokana na uhaba wa nafasi katika vyumba vya kuhifadhi maiti, baadhi ya maiti zimezikwa leo,kwa idhini ya familiya zao na shughuli za uokozi zinaendelea lakini zinakabiliwa na ukosefu wa vifaa, inasadikiwa kuwa maiti nyingi bado zimenaswa katika vifusi vya majumba.

MHE WAZIRI MKUU AKUTANA NA BALOZI WA ISRAEL NCHINI

IMG_1001Waziri Mkuu, Mhe Mizengo Pinda akisalimiana na Balozi wa Israel nchini, Mhe. Gil Haskel kabla ya mazungumzo yao, Ofisini kwake jijini Dar es salaam Februari 10, 2013.

IMG_1007Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Balozi wa Israel nchini, Mhe. Gil Haskel, Ofisini kwake jijini Dar es salaam Februari 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

MTUHUMIWA WA TARIME AFARIKI BAADA YA KUKIRI KUUA WATU TISA

Kamanda Justus Kamugisha.

Mtuhumiwa wa mauaji ya watu tisa na unyang'anyi wilayani Tarime mkoani Mara, aliyekuwa akihojiwa Polisi kwa tuhuma zilizokuwa zikimkabili, amefariki katika Hospitali ya Wilaya wakati akipatiwa matibabu ya ugonjwa wa pumu.
Kamanda wa Polisi Tarime na Rorya, Kamishina Msaidizi Justus Kamugisha, alisema kuwa mtuhumiwa huyo jina lake halisi ni Charles Kichune (38) na alifariki usiku wa kuamkia jana wakati akitibiwa ugonjwa huo hospitalini.
Majina mengine aliyokuwa akiyatumia kwa mujibu wa Kamanda Kamugisha ni pamoja na Josephat Chacha na Charles Msongo.
"Mwili wa marehemu upo chumba cha maiti katika Hospitali ya Wilaya ukisubiri kufanyiwa uchunguzi na kuchukuliwa na ndugu zake," alisema Kamanda Kamugisha.
Baadhi ya raia waliouawa ni pamoja na David Yomami, Samuel Matiko, Robert Machumbe, Zakaria Marwa , Juma Nyaitara, Juma Mwita, Marwa Mwita na Erick Makanya.
Kwa mujibu wa maelezo ya Kamanda Kamugisha, Kichune baada ya kukamatwa alikiri Polisi kuhusika katika mauaji ya watu mbalimbali katika kata za Binagi, Turwa na Kitare katika vijiji vya Mogabiri, Kenyamanyori, Nkende na Rebu.
Kamanda Kamugisha alisema mtuhumiwa huyo Kichune alikamatwa Februari 6 mwaka huu mkoani Tanga baada ya Polisi kufuatilia mtandao wake baada ya kupata taarifa kutoka kwa raia wema.
Baada ya kukamatwa, uchunguzi wa Polisi ulibaini kuwa baada ya mauaji ya watu tisa, mtuhumiwa alikodisha pikipiki kutoka kijiji cha Kenyamanyori alikokuwa akiishi, hadi Musoma.
Alipofika Musoma, inadaiwa alihifadhi bunduki aina ya SMG na risasi kadhaa kwa mshirika wake, Marwa
Keryoba maeneo ya Bweri na alipokamatwa alimtaja Keryoba kuwa ndiye anayetunza silaha hiyo.
Februari 7 mwaka huu, Polisi walifuatilia silaha hiyo kwa Marwa na kumkuta mtuhumiwa, ambapo alitakiwa kujisalimisha lakini alikaidi na kuanza kurushia risasi askari.
"Marwa aliuawa Februari 7 alfajiri Bweri Musoma, wakati alipotakiwa kujisalimisha na kukaidi na kuanza kurushiana risasi na askari," alisema Kamanda Kamugisha.
Kwa mujibu wa Kamanda Kamugisha, kuna mtuhumiwa mwingine sugu wa mauaji ya watu zaidi ya 10, Senso Magabe ameuawa katika majibishano na Polisi wiki iliyopita.
Hata hivyo katika majibishano hayo, wenzake watatu walifanikiwa kutoroka na msako unaendelea wilayani hapa ambapo wananchi wameombwa kutoa ushirikiano Polisi ili kufanikisha kukamatwa kwa watuhumiwa hao.
Kamanda Kamugisha alisema tayari watu wanne waliokuwa katika mtandao huo wa ujambazi wamefikishwa mahakamani kwa mashitaka ya unyang'anyi na mauaji.
Watuhumiwa waliofikishwa mahakamani ni pamoja na Kyoma Manguh, Marwa Mwita , Yohana Mgosi na Chacha
Bugichere ambapo kesi zao zitatajwa Februari 19 mwaka huu.
Jana mamia ya wananchi wilayani Tarime walifurika kuona mwili wa Kichune maarufu Kenonke ambaye amekuwa tishio kwa wakazi wa wilaya hiyo.
Polisi imetangaza zawadi ya Sh milioni moja kwa
atakayetoa taarifa zitakazofanikisha kukamata silaha za moto katika wilaya za Tarime na Rorya

BREAKING NEWS:MAGARI ZAIDI YA 3000 YAKWAMA ENEO LA HEDARU BAADA YA MVUA KUBWA KUNYESHA NA KUZUIA BARABARA

Magari zaidi ya 3000 yamekwama eneo la Hedaru baada ya barabara kufungwa na kuzibwa na maji mengi yaliyosababishwa na mvua kubwa zilizonyesha eneo hilo.Wasafiri wamekwama eneo hili kwani magari na mabasi pia magari ya mizigo yanashindwa kupita kwa kuwa barabara haionekani.
Kampuni ya ujenzi inayojenga barabara hiyo inajitahidi kuchimba maeneo ya pembeni ili kuweza kuhamisha maji ili angalau njia iweze kuonekana.Hali ni mbaya eneo hili hivyo serikali inatakiwa kuwahi kwenda kutoa msaada wa kuweza kupunguza maji na hatimaye magari yaweze kupita
 
Hii ndio hali halisi inavyoonekana malori yakiwa yamekwama katikati ya barabara
Baadhi ya wasafiri waliokwama wakiangalia greda inayojaribu kutengeneza njia ili waweze kupita.
Wasafiri wakiwa wamekwama eneo la Hedaru


Malori na mabasi yakiwa kwenye foleni baada ya njia kuzibwa na mafuriko ya maji..BOFYA HAPA KUANGALIA PICHA ZAIDI
Wakandarasi wakijadiliana jambo ili kuweza kupata ufumbuzi
Umati wa wasafiri wakiwa wanashangaa jinsi barabara ilivyozuiwa na maji

 

Jumamosi, 8 Februari 2014

MAJINA YA WAJUMBE WA BUNGE MAALUMU LA KATIBA HAYA HAPA

 

JMAJINA YA WAJUMBE WA BUNGE MAALUMU LA KATIBA
UTANGULIZI
<!--[if !supportLists]-->1. <!--[endif]-->Uteuzi wa Wajumbe wa Bunge la Katiba Unatawaliwa na Sheria ya Mabadiliko ya Katiba, Sura, 83 (The Constitutional Review Act, Cap 83). Sheria hii inaweka mamlaka ya uteuzi, masharti, taratibu, vigezo na mambo mengine yote yanayopaswa kuzingatiwa katika uteuzi wa Wajumbe wa Bunge la Katiba. Kwa mujibu wa Kifungu cha 22 (2A) na (2B) vigezo hivi vinajumuisha umri, jinsia, uzoefu, sifa na mahali anapotoka mjumbe husika.

<!--[if !supportLists]-->2. <!--[endif]-->Sheria hii inatamka aina tatu za Wajumbe wa Bunge la Katiba kama ifuatavyo:-
<!--[if !supportLists]-->(i) <!--[endif]-->Wabunge wote wa Bunge la Jamhuri ya Muungano;
<!--[if !supportLists]-->(ii) <!--[endif]-->Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi la Zanzibar; na
<!--[if !supportLists]-->(iii) <!--[endif]-->Wajumbe 201 kwa mujibu wa Kifungu Na. 22(1c) cha Sheria ya Mabadiliko ya Katiba ambayo inaonyesha makundi mbalimbali 10 yanayohusika.

<!--[if !supportLists]-->3. <!--[endif]-->Makundi hayo ni kama ifuatavyo:-

<!--[if !supportLists]-->(i) <!--[endif]-->Taasisi zisizokuwa za Kiserikali (20)
<!--[if !supportLists]-->(ii) <!--[endif]-->Taasisi za Kidini (20)
<!--[if !supportLists]-->(iii) <!--[endif]-->Vyama vyote vya Siasa vyenye Usajili wa Kudumu (42);
<!--[if !supportLists]-->(iv) <!--[endif]-->Taasisi za Elimu (20);
<!--[if !supportLists]-->(v) <!--[endif]-->Watu wenye Ulemavu (20);
<!--[if !supportLists]-->(vi) <!--[endif]-->Vyama vya Wafanyakazi (19);
<!--[if !supportLists]-->(vii) <!--[endif]-->Vyama vinavyowakilisha Wafugaji (10);
<!--[if !supportLists]-->(viii) <!--[endif]-->Vyama vinavyowakilisha wavuvi (10);
<!--[if !supportLists]-->(ix) <!--[endif]-->Vyama vya Wakulima (20); na
<!--[if !supportLists]-->(x) <!--[endif]-->Vikundi vya Watu wenye Malengo yanayofanana (20).

<!--[if !supportLists]-->4. <!--[endif]-->Mchakato wa uteuzi ulianza kwa kutoa Tangazo la Mwaliko katika Gazeti la Serikali, Tangazo la Serikali Na 443 la tarehe 13 Desemba, 2013. Tangazo hilo lilitolewa kwa lugha ya Kiswahili na Kiingereza ili kuyaalika makundi yaliyotajwa kisheria kuwasilisha mapendekezo ya majina kwa ajili ya uteuzi katika Bunge laMaalum la Katiba. Aidha, Tangazo hilo la mwaliko lilitangazwa pia katika magazeti mbalimbali yanayosomwa hapa nchini. Pamoja na mambo mengine Tangazo la Mwaliko lilitamka ukomo wa muda wa Taasisi na Makundi kuwasilisha mapendekezo ya majina ya wajumbe kuwa ni tarehe 02/01/2014.
<!--[if !supportLists]-->5. <!--[endif]-->Mapendekezo hayo yalitakiwa kuwasilishwa kwa Katibu Mkuu Kiongozi wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa upande wa Tanzania Bara na kwa upande wa Zanzibar, mapendekezo yalitakiwa kuwasilishwa kwa Katibu Mkuu Kiongozi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar.

<!--[if !supportLists]-->6. <!--[endif]-->Kufuatia mwaliko huo, taasisi 554 kutoka Tanzania Bara na 178 kutoka Zanzibar ziliwasilisha mapendekezo yao. Mapendekezo hayo yalijumuisha majina 2,762 kwa upande wa Tanzania Bara na kwa upande wa Zanzibar mapendekezo hayo yalihusisha watu 874. Hivyo basi, taasisi na makundi mbalimbali yalipendekeza jumla ya majina 3,636. Lakini, na kinyume na Sheria, watu 118 walijipendekeza wenyewe na kufanya idadi ya majina yaliyopendekezwa kuwa 3,754.

<!--[if !supportLists]-->7. <!--[endif]-->Mchanganuo wa idadi ya watu walipendekezwa katika makundi mbalimbali ni kama ifuatavyo:



Na.
Kundi/Taasisi
Taasisi zilizoleta mapendekezo
Idadi ya Watu Waliopendekezwa
Idadi ya Wajumbe Wanaotakiwa
Idadi ya Walioteuliwa
Tanzania Bara
Zanzibar
Tanzania Bara
Zanzibar
Tanzania Bara
Zanzibar
<!--[if !supportLists]-->1. <!--[endif]-->
Taasisi zisizokuwa za Kiserikali
246
98
1,203
444
20
13
7
<!--[if !supportLists]-->2. <!--[endif]-->
Taasisi za Kidini
55
17
344
85
20
13
7
<!--[if !supportLists]-->3. <!--[endif]-->
Vyama vya Siasa vyenye Usajili wa Kudumu
21
14
129
69
42
28
14
<!--[if !supportLists]-->4. <!--[endif]-->
Taasisi za Elimu
9
9
84
46
20
13
7
<!--[if !supportLists]-->5. <!--[endif]-->
Makundi ya Walemavu
24
6
97
43
20
13
7
<!--[if !supportLists]-->6. <!--[endif]-->
Vyama vya Wafanyakazi
20
1
89
13
19
13
6
<!--[if !supportLists]-->7. <!--[endif]-->
Vyama Vinavyowakilisha Wafugaji
8
1
43
4
10
7
3
<!--[if !supportLists]-->8. <!--[endif]-->
Vyama vinavyowakilisha Wavuvi
7
3
45
12
10
7
3
<!--[if !supportLists]-->9. <!--[endif]-->
Vyama vya Wakulima
22
8
115
44
20
13
7
<!--[if !supportLists]-->10. <!--[endif]-->
Makundi yenye Malengo Yanayofanana
142
21
613
114
20
14
6

Mapendekezo Binafsi
-
-
118
-




Jumla
672
178
2,880
874
201
134
67

Jumla Kuu
850
3,754






<!--[if !supportLists]-->8. <!--[endif]-->Sheria ya Mabadiliko ya Katiba imeweka masharti ya kuzingatiwa katika uteuzi wa wajumbe 201 wa Bunge la Maalum la Katiba. Masharti hayo ni pamoja na wajumbe wasiopungua theluthi moja wanatakiwa kutoka Zanzibar na theluthi mbili kutoka Tanzania Bara. Kwa sababu hiyo, katika wajumbe 201, wajumbe 67 watatoka Zanzibar na wajumbe 134 watatoka Tanzania Bara. Aidha, mgawanyo wa wajumbe wanawake na wanaume unatakiwa uwe nusu kwa nusu. Pamoja na hayo, wajumbe hao wawakilishe sura ya wananchi wa Tanzania kwa ufuasi wa vyama vya siasa, dini, umri, na maeneo wanayotoka. Katika mazingira haya, zoezi la kupata wajumbe 201 halikuwa rahisi hata kidogo. Mwitikio wa makundi ulikuwa mkubwa sana ikilinganishwa na nafasi zilizopo.
<!--[if !supportLists]-->9. <!--[endif]-->Kama nilivyoeleza hapo awali, mapendekezo kutoka Tanzania Bara yalikuwa 2,880 wakati nafasi za wajumbe ni 134. Kwa upande wa Zanzibar, majina yaliyopendekezwa yalikuwa 874 ikilinganishwa na idadi ya wajumbe 67 wanaotakiwa kuteuliwa. Kwa nyongeza ya maelezo kuhusu uwingi wa mapendekezo, ni kwamba ukichukua taasisi zisizo za kiserikali kwa upande wa Tanzania Bara walipendekezwa watu 1,203, wakati nafasi zilizokuwa zinatakiwa kujazwa ni 13 tu. Kwa upande Zanzibar, taasisi zisizokuwa za kiserikali zilikuwa zimependekeza majina 444 ikilinganishwa na nafasi 7 tu zilizokuwa zinatakiwa kujazwa kutokana na taasisi hizi.

WAJUMBE WA BUNGE LA KATIBA
<!--[if !supportLists]-->10. <!--[endif]-->Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania wakishirikiana na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mpainduzi Zanzibar wamekamilisha uteuzi wa wajumbe 201. Kabla ya kutaja orodha ya wajumbe walioteuliwa, napenda kufafanua mambo yafuatayo:
<!--[if !supportLists]-->(a) <!--[endif]-->Uteuzi umezingatia ushiriki wa watu wa rika zote, yaani vijana, watu wazima na wazee. Kwa ajili hiyo, wajumbe vijana yaani wenye umri wa kati miaka 22-35, ni wajumbe 35. Wajumbe wenye umri wa kati, yaani miaka 36-64, ni 145; na wajumbe wazee, yaani wenye umri wa miaka 65 na kuendelea ni 21.
<!--[if !supportLists]-->(b) <!--[endif]-->Sheria inataka kuwepo na uwiano sawa kwa ajumbe wanawake na wanaume. Jambo hili limezingatiwa ipasavyo, na katika orodha hii wajumbe wanawake ni 100 na wanaume 101. Kwa vile, haiwezekani kuwa na nusu mtu, ndiyo maana idadi ya wajumbe wanaume ni 101.
<!--[if !supportLists]-->(c) <!--[endif]-->Uwakilishi wa vyama vya siasa ambao unahitaji kila chama chenye usajili wa kudumu kiwe na wajumbe wawili umezingatiwa. Kwa kuwa kuna vyama vya siasa vyenye usajili wa kudumu 21, jumla ya wajumbe 42 wamechaguliwa kwa maana ya kuwa wajumbe wawili wameteuliwa kutoka katika kila chama.
Baada ya maelezo hayo ya utangulizi, ifuatayo ndiyo orodha ya wajumbe 201 wa Bunge Maalum la Katiba waliobahatika kuteuliwa:


TAASISI ZISIZOKUWA ZA KISERIKALI- (WAJUMBE 20)

TANZANIA BARA (13)

<!--[if !supportLists]-->1. <!--[endif]-->Magdalena Rwebangira
<!--[if !supportLists]-->2. <!--[endif]-->Kingunge Ngombale Mwiru
<!--[if !supportLists]-->3. <!--[endif]-->Asha D. Mtwangi
<!--[if !supportLists]-->4. <!--[endif]-->Maria Sarungi Tsehai
<!--[if !supportLists]-->5. <!--[endif]-->Paul Kimiti
<!--[if !supportLists]-->6. <!--[endif]-->Valerie N. Msoka
<!--[if !supportLists]-->7. <!--[endif]-->Fortunate Moses Kabeja
<!--[if !supportLists]-->8. <!--[endif]-->Sixtus Raphael Mapunda
<!--[if !supportLists]-->9. <!--[endif]-->Elizabeth Maro Minde
<!--[if !supportLists]-->10. <!--[endif]-->Happiness Samson Sengi
<!--[if !supportLists]-->11. <!--[endif]-->Evod Herman Mmanda
<!--[if !supportLists]-->12. <!--[endif]-->Godfrey Simbeye
<!--[if !supportLists]-->13. <!--[endif]-->Mary Paul Daffa

TANZANIA ZANZIBAR (7)
<!--[if !supportLists]-->1. <!--[endif]-->Idrissa Kitwana Mustafa
<!--[if !supportLists]-->2. <!--[endif]-->Siti Abbas Ali
<!--[if !supportLists]-->3. <!--[endif]-->Abdalla Abass Omar
<!--[if !supportLists]-->4. <!--[endif]-->Salama Aboud Talib
<!--[if !supportLists]-->5. <!--[endif]-->Juma Bakari Alawi
<!--[if !supportLists]-->6. <!--[endif]-->Salma Hamoud Said
<!--[if !supportLists]-->7. <!--[endif]-->Adila Hilali Vuai



TAASISI ZA KIDINI- (WAJUMBE 20)
TANZANIA BARA (13)
<!--[if !supportLists]-->1. <!--[endif]-->Tamrina Manzi
<!--[if !supportLists]-->2. <!--[endif]-->Olive Damian Luwena
<!--[if !supportLists]-->3. <!--[endif]-->Shamim Khan
<!--[if !supportLists]-->4. <!--[endif]-->Mchg. Ernest Kadiva
<!--[if !supportLists]-->5. <!--[endif]-->Sheikh Hamid Masoud Jongo
<!--[if !supportLists]-->6. <!--[endif]-->Askofu Mkuu (Mstaafu) Donald Leo Mtetemela
<!--[if !supportLists]-->7. <!--[endif]-->Magdalena Songora
<!--[if !supportLists]-->8. <!--[endif]-->Hamisi Ally Togwa
<!--[if !supportLists]-->9. <!--[endif]-->Askofu Amos J. Muhagachi
<!--[if !supportLists]-->10. <!--[endif]-->Easter Msambazi
<!--[if !supportLists]-->11. <!--[endif]-->Mussa Yusuf Kundecha
<!--[if !supportLists]-->12. <!--[endif]-->Respa Adam Miguma
<!--[if !supportLists]-->13. <!--[endif]-->Prof. Costa Ricky Mahalu

TANZANIA ZANZIBAR (7)
<!--[if !supportLists]-->1. <!--[endif]-->Sheikh Thabit Nouman Jongo
<!--[if !supportLists]-->2. <!--[endif]-->Suzana Peter Kunambi
<!--[if !supportLists]-->3. <!--[endif]-->Sheikh Nassoro Mohammed Ibrahimu
<!--[if !supportLists]-->4. <!--[endif]-->Fatma Mohammed Hassan
<!--[if !supportLists]-->5. <!--[endif]-->Louis Majaliwa
<!--[if !supportLists]-->6. <!--[endif]-->Yasmin Yusufali E. H alloo
<!--[if !supportLists]-->7. <!--[endif]-->Thuwein Issa Thuwein





VYAMA VYOTE VYA SIASA
VYENYE USAJILI WA KUDUMU – (WAJUMBE 42)
TANZANIA BARA (28)
<!--[if !supportLists]-->1. <!--[endif]-->Hashim Rungwe Spunda
<!--[if !supportLists]-->2. <!--[endif]-->Thomas Magnus Mgoli
<!--[if !supportLists]-->3. <!--[endif]-->Rashid Hashim Mtuta
<!--[if !supportLists]-->4. <!--[endif]-->Shamsa Mwangunga
<!--[if !supportLists]-->5. <!--[endif]-->Yusuf S. Manyanga
<!--[if !supportLists]-->6. <!--[endif]-->Christopher Mtikila
<!--[if !supportLists]-->7. <!--[endif]-->Bertha Ng’angompata
<!--[if !supportLists]-->8. <!--[endif]-->Suzan Marwa
<!--[if !supportLists]-->9. <!--[endif]-->Dominick Abraham Lyamchai
<!--[if !supportLists]-->10. <!--[endif]-->Mbwana Salum Kibanda
<!--[if !supportLists]-->11. <!--[endif]-->Peter Kuga Mziray
<!--[if !supportLists]-->12. <!--[endif]-->Isaac Manjoba Cheyo
<!--[if !supportLists]-->13. <!--[endif]-->Dr. Emmanuel John Makaidi
<!--[if !supportLists]-->14. <!--[endif]-->Prof. Ibrahim Haruna Lipumba
<!--[if !supportLists]-->15. <!--[endif]-->Modesta Kizito Ponera
<!--[if !supportLists]-->16. <!--[endif]-->Prof. Abdallah Safari
<!--[if !supportLists]-->17. <!--[endif]-->Salumu Seleman Ally
<!--[if !supportLists]-->18. <!--[endif]-->James Kabalo Mapalala
<!--[if !supportLists]-->19. <!--[endif]-->Mary Oswald Mpangala
<!--[if !supportLists]-->20. <!--[endif]-->Mwaka Lameck Mgimwa
<!--[if !supportLists]-->21. <!--[endif]-->Nancy S. Mrikaria
<!--[if !supportLists]-->22. <!--[endif]-->Nakazael Lukio Tenga
<!--[if !supportLists]-->23. <!--[endif]-->Fahmi Nasoro Dovutwa
<!--[if !supportLists]-->24. <!--[endif]-->Costantine Benjamini Akitanda
<!--[if !supportLists]-->25. <!--[endif]-->Mary Moses Daudi
<!--[if !supportLists]-->26. <!--[endif]-->Magdalena Likwina
<!--[if !supportLists]-->27. <!--[endif]-->John Dustan Lifa Chipaka
<!--[if !supportLists]-->28. <!--[endif]-->Rashid Mohamed Ligania Rai
TANZANIA ZANZIBAR (14)
<!--[if !supportLists]-->1. <!--[endif]-->Ally Omar Juma
<!--[if !supportLists]-->2. <!--[endif]-->Vuai Ali Vuai
<!--[if !supportLists]-->3. <!--[endif]-->Mwanaidi Othman Twahir
<!--[if !supportLists]-->4. <!--[endif]-->Jamila Abeid Saleh
<!--[if !supportLists]-->5. <!--[endif]-->Mwanamrisho Juma Ahmed
<!--[if !supportLists]-->6. <!--[endif]-->Juma Hamis Faki
<!--[if !supportLists]-->7. <!--[endif]-->Tatu Mabrouk Haji
<!--[if !supportLists]-->8. <!--[endif]-->Fat –Hiya Zahran Salum
<!--[if !supportLists]-->9. <!--[endif]-->Hussein Juma
<!--[if !supportLists]-->10. <!--[endif]-->Zeudi Mvano Abdullahi
<!--[if !supportLists]-->11. <!--[endif]-->Juma Ally Khatibu
<!--[if !supportLists]-->12. <!--[endif]-->Haji Ambar Khamis
<!--[if !supportLists]-->13. <!--[endif]-->Khadija Abdallah Ahmed
<!--[if !supportLists]-->14. <!--[endif]-->Rashid Yussuf Mchenga




TAASISI ZA ELIMU- (WAJUMBE 20)
TANZANIA BARA
<!--[if !supportLists]-->1. <!--[endif]-->Dr. Suzan Kolimba
<!--[if !supportLists]-->2. <!--[endif]-->Prof. Esther Daniel Mwaikambo
<!--[if !supportLists]-->3. <!--[endif]-->Dr. Natujwa Mvungi
<!--[if !supportLists]-->4. <!--[endif]-->Prof. Romuald Haule
<!--[if !supportLists]-->5. <!--[endif]-->Dr. Domitila A.R. Bashemera
<!--[if !supportLists]-->6. <!--[endif]-->Dr. Jasmine Bendantunguka Tiisekwa
<!--[if !supportLists]-->7. <!--[endif]-->Prof. Bernadeta Kilian
<!--[if !supportLists]-->8. <!--[endif]-->Teddy Ladislaus Patrick
<!--[if !supportLists]-->9. <!--[endif]-->Dr. Francis Michael
<!--[if !supportLists]-->10. <!--[endif]-->Prof. Remmy J. Assey
<!--[if !supportLists]-->11. <!--[endif]-->Dr. Tulia Ackson
<!--[if !supportLists]-->12. <!--[endif]-->Dr. Ave Maria Emilius Semakafu
<!--[if !supportLists]-->13. <!--[endif]-->Hamza Mustafa Njozi

TANZANIA ZANZIBAR (7)
<!--[if !supportLists]-->1. <!--[endif]-->Makame Omar Makame
<!--[if !supportLists]-->2. <!--[endif]-->Fatma Hamid Saleh
<!--[if !supportLists]-->3. <!--[endif]-->Dr. Aley Soud Nassor
<!--[if !supportLists]-->4. <!--[endif]-->Layla Ali Salum
<!--[if !supportLists]-->5. <!--[endif]-->Dkt. Mwinyi Talib Haji
<!--[if !supportLists]-->6. <!--[endif]-->Zeyana Mohamed Haji
<!--[if !supportLists]-->7. <!--[endif]-->Ali Ahmed Uki



WATU WENYE ULEMAVU-(WAJUMBE 20)
TANZANIA BARA (13)
<!--[if !supportLists]-->1. <!--[endif]-->Zuhura Musa Lusonge
<!--[if !supportLists]-->2. <!--[endif]-->Frederick Msigala
<!--[if !supportLists]-->3. <!--[endif]-->Amon Anastaz Mpanju
<!--[if !supportLists]-->4. <!--[endif]-->Bure Zahran
<!--[if !supportLists]-->5. <!--[endif]-->Edith Aron Dosha
<!--[if !supportLists]-->6. <!--[endif]-->Vincent Venance Mzena
<!--[if !supportLists]-->7. <!--[endif]-->Shida Salum Mohamed
<!--[if !supportLists]-->8. <!--[endif]-->Dr. Henry Mwizengwa Nyamubi.
<!--[if !supportLists]-->9. <!--[endif]-->Elias Msiba Masamaki
<!--[if !supportLists]-->10. <!--[endif]-->Faustina Jonathan Urassa
<!--[if !supportLists]-->11. <!--[endif]-->Doroth Stephano Malelela
<!--[if !supportLists]-->12. <!--[endif]-->John Josephat Ndumbaro
<!--[if !supportLists]-->13. <!--[endif]-->Ernest Njama Kimaya

TANZANIA ZANZIBAR (7)
<!--[if !supportLists]-->1. <!--[endif]-->Haidar Hashim Madeweyya
<!--[if !supportLists]-->2. <!--[endif]-->Alli Omar Makame
<!--[if !supportLists]-->3. <!--[endif]-->Adil Mohammed Ali
<!--[if !supportLists]-->4. <!--[endif]-->Mwandawa Khamis Mohammed
<!--[if !supportLists]-->5. <!--[endif]-->Salim Abdalla Salim
<!--[if !supportLists]-->6. <!--[endif]-->Salma Haji Saadat
<!--[if !supportLists]-->7. <!--[endif]-->Mwantatu Mbarak Khamis



VYAMA VYA WAFANYAKAZI-(WAJUMBE 19)
TANZANIA BARA (13)
<!--[if !supportLists]-->1. <!--[endif]-->Honorata Chitanda
<!--[if !supportLists]-->2. <!--[endif]-->Dr. Angelika Semike
<!--[if !supportLists]-->3. <!--[endif]-->Ezekiah Tom Oluoch
<!--[if !supportLists]-->4. <!--[endif]-->Adelgunda Michael Mgaya
<!--[if !supportLists]-->5. <!--[endif]-->Dotto M. Biteko
<!--[if !supportLists]-->6. <!--[endif]-->Mary Gaspar Makondo
<!--[if !supportLists]-->7. <!--[endif]-->Halfani Shabani Muhogo
<!--[if !supportLists]-->8. <!--[endif]-->Yusufu Omari Singo
<!--[if !supportLists]-->9. <!--[endif]-->Joyce Mwasha
<!--[if !supportLists]-->10. <!--[endif]-->Amina Mweta
<!--[if !supportLists]-->11. <!--[endif]-->Mbaraka Hussein Igangula
<!--[if !supportLists]-->12. <!--[endif]-->Aina Shadrack Massawe
<!--[if !supportLists]-->13. <!--[endif]-->Lucas Charles Malunde

TANZANIA ZANZIBAR (6)
<!--[if !supportLists]-->1. <!--[endif]-->Khamis Mwinyi Mohamed
<!--[if !supportLists]-->2. <!--[endif]-->Jina Hassan Silima
<!--[if !supportLists]-->3. <!--[endif]-->Makame Launi Makame
<!--[if !supportLists]-->4. <!--[endif]-->Asmahany Juma Ali
<!--[if !supportLists]-->5. <!--[endif]-->Mwatoum Khamis Othman
<!--[if !supportLists]-->6. <!--[endif]-->Rihi Haji Ali


VYAMA VINAVYOWAKILISHAWAFUGAJI-(WAJUMBE 10)
TANZANIA BARA (7)
<!--[if !supportLists]-->1. <!--[endif]-->William Tate Olenasha
<!--[if !supportLists]-->2. <!--[endif]-->Makeresia Pawa
<!--[if !supportLists]-->3. <!--[endif]-->Mabagda Gesura Mwataghu
<!--[if !supportLists]-->4. <!--[endif]-->Doreen Maro
<!--[if !supportLists]-->5. <!--[endif]-->Magret Nyaga
<!--[if !supportLists]-->6. <!--[endif]-->Hamis Mnondwa
<!--[if !supportLists]-->7. <!--[endif]-->Ester Milimba Juma

TANZANIA ZANZIBAR (3)
<!--[if !supportLists]-->1. <!--[endif]-->Said Abdalla Bakari
<!--[if !supportLists]-->2. <!--[endif]-->Mashavu Yahya
<!--[if !supportLists]-->3. <!--[endif]-->Zubeir Sufiani Mkanga



VYAMA VINAVYOWAKILISHAWAVUVI –(WAJUMBE 10)
TANZANIA BARA (7)
<!--[if !supportLists]-->1. <!--[endif]-->Hawa A. Mchafu
<!--[if !supportLists]-->2. <!--[endif]-->Rebecca Masato
<!--[if !supportLists]-->3. <!--[endif]-->Thomas Juma Minyaro
<!--[if !supportLists]-->4. <!--[endif]-->Timtoza Bagambise
<!--[if !supportLists]-->5. <!--[endif]-->Tedy Malulu
<!--[if !supportLists]-->6. <!--[endif]-->Rebecca Bugingo
<!--[if !supportLists]-->7. <!--[endif]-->Omary S. Husseni

TANZANIA ZANZIBAR (3)
<!--[if !supportLists]-->1. <!--[endif]-->Waziri Rajab
<!--[if !supportLists]-->2. <!--[endif]-->Issa Ameir Suleiman
<!--[if !supportLists]-->3. <!--[endif]-->Mohamed Abdallah Ahmed




VYAMA VYAWAKULIMA-(WAJUMBE 20)
TANZANIA BARA (13)
<!--[if !supportLists]-->1. <!--[endif]-->Agatha Harun Senyagwa
<!--[if !supportLists]-->2. <!--[endif]-->Veronica Sophu
<!--[if !supportLists]-->3. <!--[endif]-->Shaban Suleman Muyombo
<!--[if !supportLists]-->4. <!--[endif]-->Catherine Gabriel Sisuti
<!--[if !supportLists]-->5. <!--[endif]-->Hamisi Hassani Dambaya
<!--[if !supportLists]-->6. <!--[endif]-->Suzy Samson Laizer
<!--[if !supportLists]-->7. <!--[endif]-->Dr. Maselle Zingura Maziku
<!--[if !supportLists]-->8. <!--[endif]-->Abdallah Mashausi
<!--[if !supportLists]-->9. <!--[endif]-->Hadijah Milawo Kondo
<!--[if !supportLists]-->10. <!--[endif]-->Rehema Madusa
<!--[if !supportLists]-->11. <!--[endif]-->Reuben R. Matango
<!--[if !supportLists]-->12. <!--[endif]-->Happy Suma
<!--[if !supportLists]-->13. <!--[endif]-->Zainab Bakari Dihenga

TANZANIA ZANZIBAR (7)
<!--[if !supportLists]-->1. <!--[endif]-->Saleh Moh’d Saleh
<!--[if !supportLists]-->2. <!--[endif]-->Biubwa Yahya Othman
<!--[if !supportLists]-->3. <!--[endif]-->Khamis Mohammed Salum
<!--[if !supportLists]-->4. <!--[endif]-->Khadija Nassor Abdi
<!--[if !supportLists]-->5. <!--[endif]-->Fatma Haji Khamis
<!--[if !supportLists]-->6. <!--[endif]-->Asha Makungu Othman
<!--[if !supportLists]-->7. <!--[endif]-->Asya Filfil Thani



WATU WENYE MALENGO YANAYOFANANA – (WAJUMBE 20)
TANZANIA BARA (14)
<!--[if !supportLists]-->1. <!--[endif]-->Dr. Christina Mnzava
<!--[if !supportLists]-->2. <!--[endif]-->Paulo Christian Makonda
<!--[if !supportLists]-->3. <!--[endif]-->Jesca Msambatavangu
<!--[if !supportLists]-->4. <!--[endif]-->Julius Mtatiro
<!--[if !supportLists]-->5. <!--[endif]-->Katherin Saruni
<!--[if !supportLists]-->6. <!--[endif]-->Abdallah Majura Bulembo
<!--[if !supportLists]-->7. <!--[endif]-->Hemedi Abdallah Panzi
<!--[if !supportLists]-->8. <!--[endif]-->Dr. Zainab Amir Gama
<!--[if !supportLists]-->9. <!--[endif]-->Hassan Mohamed Wakasuvi
<!--[if !supportLists]-->10. <!--[endif]-->Paulynus Raymond Mtendah
<!--[if !supportLists]-->11. <!--[endif]-->Almasi Athuman Maige
<!--[if !supportLists]-->12. <!--[endif]-->Pamela Simon Massay
<!--[if !supportLists]-->13. <!--[endif]-->Kajubi Diocres Mukajangwa
<!--[if !supportLists]-->14. <!--[endif]-->Kadari Singo
TANZANIA ZANZIBAR (6)
<!--[if !supportLists]-->1. <!--[endif]-->Yussuf Omar Chunda
<!--[if !supportLists]-->2. <!--[endif]-->Fatma Mussa Juma
<!--[if !supportLists]-->3. <!--[endif]-->Prof. Abdul Sheriff
<!--[if !supportLists]-->4. <!--[endif]-->Amina Abdulkadir Ali
<!--[if !supportLists]-->5. <!--[endif]-->Shaka Hamdu Shaka
<!--[if !supportLists]-->6. <!--[endif]-->Rehema Said Shamte

Imetolewa na:
Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais,
Ikulu.
Dar es Salaam.

7 Februari, 2014