Tume ya mabadiliko ya Katiba nchini imetoa rasimu ya pili ya Katiba baada ya kufanya marekebisho kadhaa na kuweka maoni mbalimbali ya wadau. Mwenyekiti wa Tume hiyo Mhe Jaji Joseph Warioba aliwaambia waandishi wa habari kuwam kazi ya kuboresha rasimu ya kwanza sasa imekamilika
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni