: Waziri wa Fedha wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt William Mgimwa amefariki dunia jana katika hospitali ya Mediclinic Kloff nchini Afrika Kusini alipokuwa akitibiwa.
Taarifa za kifo chake zimethibitishwa na Katibu Mkuu Kiongozi Ombeni Sefue, ambaye amesema Mgimwa amefariki majira ya saa 5:20 saa za Afrika Kusini ambapo ni sawa na saa 6:20 kwa saa za Afrika Mashariki
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni