Floyd
Mayweather alipata pesa nyingi baada ya pambano lakini sio
mtu pakee aliyepata pesa baada ya pambano hilo kuisha. Najua hata mtaani
kwenye kuna watu waliweka mizigo na kushinda kiasi cha pesa.
Sasa kwa
upande wa kimataifa kuna mtu kama 50 Cent ambaye ni rafiki wa Floyd
Mayweather aliweka kiasi cha dola milioni 1.4 na kushinda kwa sababu
aliweka upande wa The Money Team.
Davido kutoka Nigeria alikuwa Las Vegas na yeye aliweka dola 20,ooo kwa upande wa Floyd
Mayweather bila kumsahau original Bad Boy P Diddy aliweka dola 250,000
.
Hawa ni baadhi ya watu tu waliotangaza na wengine hawajatangaza mizigo waliyoweka, vipi kwa upande wako.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni