Jumamosi, 1 Februari 2014

JESHI LA POLISI CHALINZE LAENDESHA MAFUNZO YA BODABODA


Mkuu wa kikosi cha usalama barabarani Chalinze Mkaguzi Msaidizi wa Polisi Innocent Sulle akitoa vyeti na leseni kwa wahitimu wa mafunzo ya kuendesha pikipiki katika chuo cha Winners Driving school Bagamoyo yaliyoendeshwa eneo la Chalinze Tarehe 31.01.2014
Mkuu wa kikosi cha usalama barabarani chalinze mkaguzi msaidizi wa polisi Innocent Sulle akitoa vyeti na leseni kwa wahitimu wa mafunzo ya kuendesha pikipiki katika chuo cha Winners Driving school Bagamoyo yaliyoendeshwa eneo la Chalinze Tarehe 31.01.2014
Mkuu wa kikosi cha usalama barabarani chalinze mkaguzi msaidizi wa polisi Innocent Sulle akizungumza na wahitimu wa mafunzo ya kuendesha pikipiki katika chuo cha Winners Driving school Bagamoyo yaliyoendeshwa eneo la Chalinze Tarehe 31.01.2014


Hakuna maoni:

Chapisha Maoni