Basi la kampuni ya Japanese Express linalofanya safari zake kati ya Makete na Njombe, limetumbukia kwenye mto eneo la Lwamadovela wilayani Makete
Basi hilo lilikuwa likitokea Njombe kwenda Makete na ajali hiyo imetokea majira ya saa 11 jana jioni kwa mujibu wa mashuhuda wa ajali hiyo
Taarifa kamili ya ajali hiyo zitakujia baadaye.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni