Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akifungua bomba la maji kuashira uzinduzi wa Mradi wa Maji wa Mji Mdogo wa Kibaigwa wilayani Kongwa ikiwa ni Moja ua Shiguli za wikiya Maji. Kulia Kwake ni Waziri wa Maji na kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Dodoma , Rehema Nchimbi.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimtwika ndoo ya maji, bibi Emaculata Mazengo wakati alipozindua mradi wa maji wa Mji mdogo wa Kibaigwa wilayani Kongwaikiwa ni moja ya shughuli za wiki ya Maji Machi 17, 2014. (picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akihutubia baada ya kuzindua mradi wa maji wa mji mdogo wa Kibaigwa wilayani Kongwa ikiwa ni moja ya shughuli za wiki ya maji Aprili 17, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Jumanne, 18 Machi 2014
WAZIRI MKUU MHE. PINDA AZINDUA MRADI WA MAJI KIBAIGWA
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizindua Mradi wa Maji wa Mji Mdogo wa Kibaigwa wilayani Kongwa ikiwa ni moja ya shughuli za Wiki ya Maji nchini Machi 17, 2014.. Kulia kwake ni Waziri wa Maji, Profesa Jumanne Maghembe. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)Waziri Mkuu, izengo Pinda akikata utepe kuashiria uzinduzi wa Mradi wa Maji wa Mji Mdogo wa Kibaigwa wilayani Kongwa ikiwa ni Moja ya Shuguli za wiki ya Maji Machi 17, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni