Jumatano, 12 Machi 2014

ARSENAL YATOKA SARE YA 1 ;1 NA BAYERN LAKINI YATOLEWA NJE UEFA

Timu ya Arsenal ya Uingereza jana ilitoka sare ya goli moja kwa moja na Bayern Munich katika mechi ya marudiano iliyochezwa nchini Ujerumani. Hata hivyo kutokana na kufungwa goli 2-0 katika mechi ya kwanza timu ya Arsenal inatolewa nje ya mashindano hayo
Opener: Bastian Schweinsteiger fires home to make it 1-0 to the defending European champions
Mchezaji Bastian Schweinsteiger akifunga goli la kwanza la Bayern Munich ambao ni mabingwa watetezi wa UEFA.

Mooted: Lukas Podolski celebrates after smashing the ball home to make it 1-1
Mchezaji wa Arsenal Lucas Podosky akishangilia baada ya kufunga goli za kusawazisha.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni