BREAKING NEWS: BASI LA HOOD KUTOKA ARUSHA-MBEYA LAPATA AJALI ENEO LA SAME LEO ASUBUHI HII
Basi la Kampuni ya Hood likiwa limepinduka ambapo mtu mmoja amekufa na watu kadhaa kuumia vibaya eneo la Same leo asubuhi
Huyu ni mtu aliyefariki katka ajali hiyo
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni